Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burkina Faso yaivimbia Ufaransa sakata la misaada

Burknafasooo.jpeg Burkina Faso yaivimbia Ufaransa sakata la misaada

Wed, 9 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

“Tumekuwa tukipokea misaada ya Ufaransa kwa miaka 63, lakini nchi yetu haijaendelea, hivyo kuikata kutoka kwetu sasa hakutatuua, badala yake kutatuhamasisha kufanya kazi na kujitegemea wenyewe.” - Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso amesema saa chache baada ya Ufaransa kusitisha misaada nchini humo.

“Tumekuwa tukipokea misaada ya Ufaransa kwa miaka 63, lakini nchi yetu haijaendelea, hivyo kuikata kutoka kwetu sasa hakutatuua, badala yake kutatuhamasisha kufanya kazi na kujitegemea wenyewe.” - Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso amesema saa chache baada ya Ufaransa kusitisha misaada nchini humo. Mapema Wiki hii Ufaransa ilisitisha msaada wake wa maendeleo na bajeti kwa Burkina Faso, bila kutoa sababu za kukatwa kwa msaada huo. - Traore ambaye anatajwa kuwa Rais mdogo kuliko wote ulimwenguni, aliingia madarakani mwaka jana akiwa na umri wa miaka 34. Alimpindua mwenzake, Paul-Henri Sandaogo Damiba ambaye pia aliingia madarakani kwa mapinduzi na kuongoza kwa kipindi cha Januari 2022 hadi Septemba 2022.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live