Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bunge lapiga kura kumfutia Rais muda wa nyongeza

S 0ff4901f Aimage Story 660x400.jpeg Bunge lapiga kura kumfutia Rais muda wa nyongeza

Sun, 2 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Wabunge Nchini Somalia wamepiga kura kufuta nyongeza ya miaka miwili madarakani kwa Rais Mohamed Abdullahi Mohamed iliyoidhinishwa mwezi Aprili baada ya jambo hilo kuibua mvutano mkubwa.

Mgogoro wa kisiasa umeibua wasiwasi kuwa Waasi wa Al Shabaab wanaweza kutumia nafasi hiyo kuhatarisha hali ya usalama ikiwa Vikosi vya Serikali vitagawanyika.

Watu 60,000 hadi 100,000 walilazimika kukimbia makazi yao kufuatia mapigano ambayo yalichochea hofu ya vita kati ya vikundi vinavyomuunga mkono Rais na vinavyompinga.

ASKARI WAPEWA VIFAA MAALUMU VYA KUKUSANYA TAARIFA “TUMEPOTEZA TEMBO”

Chanzo: millardayo.com