Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bunge kujadili muswada upandikizaji viunhgo vya binadamu

Bunge Bunge Bunge (600 X 335) Bunge kujadili muswada upandikizaji viunhgo vya binadamu

Mon, 19 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muswada huo uliowasilishwa Bungeni una mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ambazo endapo zitapitishwa, kwa mara kwanza wananchi wake wataweza kujitolea viungo vya mwili na kuruhusu upandikizaji wake.

Muswada huo uliowasilishwa Bungeni una mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ambazo endapo zitapitishwa, kwa mara kwanza wananchi wake wataweza kujitolea viungo vya mwili na kuruhusu upandikizaji wake. Gharama za upasuaji nje ya nchi ikiwa ndio chaguo pekee kwa sasa ni Tsh. Milioni 69.9 kiasi ambacho wananchi wengi wamedai hawakimudu. Endapo Bunge litaidhinisha sheria hiyo, gharama za upasuaji na huduma za matibabu zinatarajia kuwa Tsh. Milioni 18.6.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live