Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bodaboda mbaroni kwa kumbaka abiria wake

Unruly Nairobi Boda Boda Riders Bodaboda mbaroni kwa kumbaka abiria wake

Wed, 15 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Huko nchini Nigeria, Polisi wa Jimbo la Ogun inamshikilia mwendesha pikipiki (Bodaboda) aliyefahamika kwa jina la Afeez Mustapha, kwa madai ya kumbaka abiria wake wa kike.

Huko nchini Nigeria, Polisi wa Jimbo la Ogun inamshikilia mwendesha pikipiki (Bodaboda) aliyefahamika kwa jina la Afeez Mustapha, kwa madai ya kumbaka abiria wake wa kike. Kwa mujibu wa taarifa ya polisi mshukiwa huyo (Mustapha) alikuwa akimsafirisha abiria huyo lakini ghafla wakiwa njiani alibadili muelekeo na kupita njia nyingine na alipofika eneo lisilo na watu (kichakani) aliamua kumbaka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live