Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bobi Wine awataka waandamanaji kuacha "tutangulize amani"

Bobi Wine On The Campaign Trail  660x400 Bobi Wine awataka waandamanaji kuacha "tutangulize amani"

Thu, 11 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Uganda, Robort Kyagulanyi “Bobi Wine’ amewataka waandamanaji ambao ni wafuasi wake kuacha vitendo vyovyote vinavyoweza kuashiria uvunjivu wa amani na kukubali yaishe baada ya miezi miwili iliyopita Yoweri Museveni kutangazwa mshindi wa kiti cha urais.

“Nawataka wote tutangulize amani mbele silaha na uonyeshe dhidi ya serikali ambayo imetuonea.” amesema Bobi Wine akiwa katika Jukwaa la Umoja wa Kitaifa katika mji mkuu, Kampala.

Bobi Wine 39 alikuwa akizungumza kando ya meza iliyojaa faili, ambazo alidai zilikuwa na fomu za matokeo kutoka katika vituo vya kupigia kura, alisema karatasi hizo zinaonyesha matokeo ya kila kituo ambapo alidai kuwa 54%.

WAZAZI WA GENIUS WA HESABU WASIMULIA UKWELI WA MAISHA YAO “ANAFUNDISHA NA KUPIGA BAKORA WENZAKE”

Chanzo: millardayo.com