Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bobi Wine apigwa risasi

Bobi Wine Shot M Bobi Wine apigwa risasi

Wed, 4 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii na Kiongozi wa Upinzani nchini Uganda, Boby Wine, amepigwa risasi ya miguu akiwa katika hali ya vuta nikuvute na Polisi katika kijiji cha Bulindo nchini Uganda.

Kiongozi huyo ambaye ni mwanasiasa amekimbizwa hospitalini kwa ajili ya matibabu zaidi.

Kupitia mtandao wa kijamii wa X,Mwendesha ukarasa wa mtandao wa Boby Wine ametangaza kuwa Polisi walimpiga msanii huyo risasi ya mguu.

Hadi kufikia sasa hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na Jeshi Polisi kuhusu tukio hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live