Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bobi Wine akamatwa na usalama uwanja wa Entebbe – NUP

Bobi Wine Akamatwa Na Usalama Uwanja Wa Ent Bobi Wine akamatwa na usalama uwanja wa Entebbe – NUP

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: Bbc

Chama cha upinzani nchini Uganda National Unity Platform (NUP) kimesema kuwa kiongozi wake Robert Kyagulanyi anayejulikana kama Bobi Wine, amechukuliwa na usalama ghafla na kwa haraka mno katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Entebbe.

Chama cha upinzani nchini Uganda National Unity Platform (NUP) kimesema kuwa kiongozi wake Robert Kyagulanyi anayejulikana kama Bobi Wine, amechukuliwa na usalama ghafla na kwa haraka mno katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Entebbe. "Amechukuliwa akiwa bado kwenye ndege na kupelekwa katika maeneo yasiojulikana. Hadi muda huu hatujui yuko wapi," Katibu Mkuu wa chama cha NUP David Lewis Rubongonya ameambia waandishi wa habari katika kituo cha ukaguzi wa kiusalama katika barabara kuu ya Entebbe Kampala ambapo alikuwa amezuiliwa kwenda uwanja wa ndege wa Entebbe.

Chanzo: Bbc