Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bob Wine akamatwa na polisi

F89279d9c792d8286c347d121ef1bc70 Bob Wine akamatwa na polisi

Tue, 3 Nov 2020 Chanzo: habarileo.co.tz

BREAKING: Bob Wine akamatwa na polisi

BREAKING: Bob Wine akamatwa na polisi Mgombea urais wa Uganda kupitia Chama Cha National Unity Platform (NUP) Robert Kyagulanyi maarufu kama Bob Wine amekamatwa na polisi muda mfupi wakati akihutubia wananchi jijini Kampala. Taarifa kutoka katika kituo cha habari cha NTV nchini Uganda zinaeleza kuwa gari lake limeharibiwa na polisi na kukamatwa

Chanzo: habarileo.co.tz