Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bilioni 3.9 za mgombea U-rais zataifishwa!

Rigati Mgombe Kenya Bilioni 3.9 za mgombea U-rais zataifishwa!

Fri, 29 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mahakama Kuu nchini humo imeruhusu Serikali kutaifisha Tsh. Bilioni 3.9 sawa na Ksh.200,000,000 za Mgombea Mwenza wa Urais wa Kenya Kwanza, Rigathi Gachagua kwa kushindwa kueleza jinsi alivyozipata kutoka kwa Mashirika ya Serikali.

Mahakama Kuu nchini humo imeruhusu Serikali kutaifisha Tsh. Bilioni 3.9 sawa na Ksh.200,000,000 za Mgombea Mwenza wa Urais wa Kenya Kwanza, Rigathi Gachagua kwa kushindwa kueleza jinsi alivyozipata kutoka kwa Mashirika ya Serikali. Mnamo 2020, Mahakama Kuu ilizuia kuhamisha au kutumia fedha hizo baada ya kiongozi huyo Kushukiwa kwa Utakatishaji fedha zikiwemo kutoka kwa Kampuni au Mashirika ya Biashara yanayotoa huduma kwa Wizara, Mashirika ya Serikali na Mamlaka za Kaunti.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live