Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bilionea aliyefariki Kenya aagwa akiwa amekaa

Hasu Patel Zx Bilionea aliyefariki Kenya aagwa akiwa amekaa

Mon, 2 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwili wa mfanyabiashara na billionea maarufu nchini Kenya, Hasu Patel ulitembezwa mjini Mombasa ukiwa umekalishwa kwenye kiti, ikiwa ni sehemu ya watu kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa billionea huyo mwenye asili ya Asia.

Kama ilivyo tamaduni za Wahindu baada ya zoezi hilo mwili wake ukichomwa moto na mabaki yake yalipelekwa kwenye Hekalu tano za jamii ya wahindu mjini Mombasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live