Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barbara wa Simba afanya makubaliano na timu ya AL Ahly ya Misri (+picha)

EigBYeOVgAI9WIO 660x400 Barbara wa Simba afanya makubaliano na timu ya AL Ahly ya Misri (+picha)

Tue, 22 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Ofisa Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez akiongozana na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, Mulamu Nghambi wametembelea makao makuu ya klabu ya Al Ahly yaliyopo Jijini Cairo, Misri na kukubalina kushirikiana kwenye maeneo ya biashara, ufundi na uendelezaji wa wachezaji.

Ofisa Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez akiongozana na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, Mulamu Nghambi wametembelea makao makuu ya klabu ya Al Ahly yaliyopo Jijini Cairo, Misri na kukubalina kushirikiana kwenye maeneo ya biashara, ufundi na uendelezaji wa wachezaji. Pia wamekubaliana kujenga kituo cha kukuza vipaji kwa ushirikiano na timu ya Al Ahly ikiwa ni kituo cha kwanza nje ya Misri (barani Afrika) ambacho kitaendeshwa na Simba na klabu hiyo na hapo baadae timu hiyo kuja nchini kucheza mchezo wa kirafiki na Simba SC.

Chanzo: millardayo.com