Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba wa Lupita Nyong’o ashinda Ugavana Kenya

Lupita Nyongo Endorses Father Baba wa Lupita Nyong’o ashinda Ugavana Kenya

Thu, 11 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji wakike Lupita Nyon’go mwenye tuzo ya Oscar, amempongeza baba yake na wapiga kura wa mji wa Kisumu kwa kumchagua baba yake kwa muhula wa pili na wa mwisho kuwa Gavana wa kaunti ya Kisumu nchini Kenya.

Baba yake Lupita Nyon’go anaejulikana kwa majina Anyang Nyong’o alitangazwa mshindi Jumatano baada ya kura za uchaguzi mkuu Kenya zilizo fanyika Jumanne Agosti 9 mwaka huu.

Lupita Nyong’o, ambaye alieshinda tuzo kubwa za uigizaji duniani za Oscar kutokana na filamu iitwayo 12 years a slave aliwashukuru watu wa Kisumu kwa msaada wao mkubwa kwa baba yake kwenye uchaguzi huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live