Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BREAKING: Bob Wine akamatwa na polisi

0c6b491b14128c185b6db4d45b308b52 BREAKING: Bob Wine akamatwa na polisi

Wed, 18 Nov 2020 Chanzo: habarileo.co.tz

Mgombea urais wa Uganda, kupitia Chama Cha National Unity Platform (NUP), Robert Kyagulanyi maarufu ‘Bobi Wine’ amekamatwa na polisi nchini humo, muda mchache baada ya kuwasili katika Wilaya ya Luuka, kwa ajili ya mkutano wake wa kampeni.

Mgombea urais wa Uganda, kupitia Chama Cha National Unity Platform (NUP), Robert Kyagulanyi maarufu ‘Bobi Wine’ amekamatwa na polisi nchini humo, muda mchache baada ya kuwasili katika Wilaya ya Luuka, kwa ajili ya mkutano wake wa kampeni. Bobi Wine anashikiliwa na polisi kwa kosa la kujaza wafuasi zaidi ya 200 ambapo ni kinyume na kanuni zilizoelekezwa na Tume ya Uchaguzi nchini Uganda (EC).

Chanzo: habarileo.co.tz