Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aua mchepuko wa mke wake, ahukumiwa kifo

Kitanzi Aua mchepuko wa mke wake, ahukumiwa kifo

Fri, 22 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mahakama kuu ya Ado-Ekiti, Jimbo la Ekiti Nchini Nigeria imemhukumu kijana wa umri wa miaka 28, #AyodejiAlomage, kunyongwa kwa kosa la kumuua #OgunleyeAyomide, kwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mke wake. . #Alomage alifikishwa mbele ya Hakimu #JubrilAladejana mnamo Aprili 2023 kwa shtaka moja la Mauaji,Ripoti za polisi zilisema kuwa Baba Mzazi wa marehemu alipigiwa simu na kupewa taarifa kuwa Mwanae alipokea kipigo kikali kutoka kwa #Ayodeji pamoja na genge lake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live