Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Atiwa mbaroni kwa kumuua alieiunga mkono Palestina

Pingu New Atiwa mbaroni kwa kumuua alieiunga mkono Palestina

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamume mmoja huko Afrika Kusini amefikishwa mahakamani Jumanne hii akishtakiwa kwa mauaji baada ya kumchoma kisu mama mmoja hadi kufa katika kitongoji cha Durban na kuwajeruhi mwanae na mumewe kwa sababu ya kuiunga mkono Palestina.

Mwanamke huyo alikufa papo hapo, ambapo mumewe na mtoto wake walichomwa visu mara kadhaa na kujeruhiwa vibaya.

Polisi imesema mwanaume aliyefanya uhalifu huo alikamatwa eneo la tukio akiwa na kisu chenye damu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live