Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Amuua mume wake baada ya kudai talaka wiki tatu

Wee Jail Amuua mume wake baada ya kudai talaka wiki tatu

Thu, 9 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamke mmoja ayitwaye Rumasau Muhammed (19), kutoka kijiji cha Wuro nchini Nigeria, amemuua mumewe Muhammed Adamu (35) , Baada ya kukataa kumpa talaka .

Rumasau allianza kudai talaka yake wiki tatu baada ya ndoa yao kwakuwa haikuwa matakwa yake kuolewa lakini familia yake ilimuozesha kinguvu Agosti 6,mwaka huu.

Hata hivyo, Adamu alikataa kumtaka mkewe ndipo ilipo pelekea mkewe kumchoma kisu tumboni, alipokimbizwa hopital walisema tayari ameshafariki.

Msemaji wa Jeshi la Polisi ,Suleiman Nguroje amesema, wamemshikilia mwanamke huyo kwa uchunguzi,pia ametumia nafasi hiyo kwasihi Wazazi waache kwashikia watoto wao wakike kuolewa katika umri mdogo bila ridha yao

Mmoja ya watu wanaojua dini ya kislam ,Ustaz Abdullah Hamman,aameongelea tukio hilo nakusema Dini ya Kislamu haisemi wasichana walazimishwe kuolewa.

Hata hivyo, sheria ya Nigeria hairuhusu mtoto wa kike kuolewa kulazimishwa kuolewa ni katika Section 13 Ukatili wa kibinadamu Act 2015 (VAPP Act). ndoa ya za kulazimishwa ni kosa la jina na hupeleka hadi kinguo jela.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live