Fri, 2 Dec 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Massata Samb aliyekuwa akitoa hotuba Bungeni alisitisha na Kwenda kumshambulia Amy Ndiaye Gniby kwa kumpiga kichwani, Gniby akajibu mapigo kwa kumrushia kiti Samb.
Licha ya Wabunge wengine kuingilia kuwatuliza vurugu ziliendelea kwa wawili hao kuendelea kutupiana maneno na kutaka kushikana, hali iliyosababisha shughuli za bunge zisitishwe.
Inadaiwa chanzo ni kurushiana maneno baina ya wawili hao wakati wa hotuba hiyo
Chanzo: www.tanzaniaweb.live