Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Amnyonga mwanaye kisa kukosa msaada wa Tsh. 100,000

Totooo Ed Amnyonga mwanaye kisa kukosa msaada wa Tsh. 100,000

Tue, 13 Jul 2021 Chanzo: ippmedia.com

-tahadhari ya corona.

Siku chache zilizopita Serikali ya Uganda iliahidi kutoa shilingi 100,000 kwa watu wasiojiweza ili kuweza kujikimu kwa kipindi cha siku 42 ambacho walipaswa kukaa ndani ikiwa ni moja ya njia za kujikinga na maambukizi ya corona.

Kutoka katika taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Paul Kalikwani, amesema kuwa mtuhumiwa aliposikia baadhi ya watu wamepokea kiasi hicho cha fedha kwenye simu zao lakini kwake hakuwa amepata ujumbe wowote ndipo alipoamua kufanya maamuzi hayo ya kumyonga mtoto wake.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa wanakijiji wenzake wamesema kuwa mtuhumiwa huyo alishawahi kusikika akisema iwapo serikali haitampa fedha hizo ataiua familia yake yote.

Chanzo: ippmedia.com