Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aliyetumia miti shamba kutibu Ebola afariki dunia

Ebola Kifo Kifo Aliyetumia miti shamba kutibu Ebola afariki dunia

Wed, 12 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hiyo ni mara ya kwanza tangu mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola kuripotiwa kuanza Nchini Uganda, Septemba 2022 ambapo kifo cha mtu huyo kinafanya waliofariki kwa Ebola kufikia 19.

Baada ya kuanza kuonesha dalili alianza kupata matibabu kwa dawa za kienyeji badala ya kwenda hospitali, alifikwa na umauti baadaye alipokuwa amelazwa katika Hospitali ya Kiruddu.

Waziri wa Afya wa Uganda, Jane Ruth Aceng amesema mtu huyo alikutana na watu 42 kabla ya kifo chake ambao wameanza kufuatiliwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live