Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aliyekuwa Waziri Mkuu nchini nchini Mali akamatwa kwa ufisadi.

Mali Pm Boubèye Maïga, aliyekuwa Waziri Mkuu, Mali

Fri, 27 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Mali, Boubèye Maïga amekamatwa kwa tuhuma za ufisadi wakati wa manunuzi ya Ndege ya Rais kipindi cha utumishi wake.

Inaelezwa kuwa alifanya ubadhilifu huo mwaka 2014 wakati akiwa Waziri wa Ulinzi na Usalama

Anadaiwa kuhusika kwenye kuongeza gharama ya Ndege ya Rais ambayo iliyo nunuliwa kwa Dola za Marekani Milioni 40 sawa na bilioni 20 ya nchini humo.

Alikuwa Waziri Mkuu kati ya mwaka 2017 hadi 2019 ambapo alijiuzulu kutokana na ongezeko la matukio ya ghasia na vurugu Nchini humo, huku akitambulika zaidi kwa adhma yake ya kuutaka sana urais wa nchini humo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live