Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aliekuwa Rais wa Mali apelekwa nje ya nchi kwa matibabu

Ibrahim Boubacar Keita 660x400 Aliekuwa Rais wa Mali apelekwa nje ya nchi kwa matibabu

Mon, 7 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Rais aliyepinduliwa nchini Mali, Ibrahim Boubacar Keita, amesafirishwa kupelekwa Umoja wa Falme za Kiarabu kwa ajili ya matibabu.

Mwanadiplomasia mmoja ambaye hakutaka kutambulishwa jina lakini anafahamu tukio hilo, amesema hayo na kuongeza kwamba Keita ameondoka akiwa pamoja na Mke wake, Madaktari wawili, Mawakala wanne wa kiusalama na msaidizi.

Jumanne ya wiki hii Keita alipelekwa katika hospitali moja mjini Bamako na kulazwa ambapo hadi siku ya Alhamisi aliporuhusiwa kutoka hospitalini hapo kwa madai kwamba hali yake ya afya ilikuwa inaendelea vizuri.

“SIWATISHI MSIPOMCHAGUA MTAJUTA” MAGUFULI BAADA YA WANANCHI KUMZOMEA MGOMBEA

Chanzo: millardayo.com