Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al-Shabaab watishia kufanya mashambulizi Kenya

Alshaabab Al-Shabaab watishia kufanya mashambulizi Kenya

Fri, 14 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wapiganaji wa Al-Shabaab wamesema safari ya kupambana na Kenya ili kulipiza kisasi kwa uwepo wa Majeshi yake Nchini Somalia imeanza

Video iliyosambazwa katika makundi ya Telegram na Rocket Chat ina ujumbe unaosema hizi ni nyakati za mwisho na hawatarudi nyuma

Watu 13 wameuawa Nchini Kenya tangu mwaka 2022 ulipoanza, na vifo hivyo vimehusishwa na wapiganaji wa Al-Shabaab ambao Makao Makuu yao ni Somalia

Chanzo: www.tanzaniaweb.live