Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Al-Saadi Gaddaffi aachiwa huru

Gadafi2 Al-Saadi Gaddafi

Mon, 6 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtoto wa Rais wa zamani wa Libya Muammar Ghaddafi aitwae Al-Saadi Gaddafi ameachiwa huru kutoka gerezani alikowekwa kwa zaidi ya miaka saba Tripoli, Libya.

Kaimu Waziri Mkuu wa Libya Abdul Hamid Dbeibah ametangaza kuachiliwa huru kwa Al-Saadi kutokana na agizo la awali la Mahakama.

Msemaji wa Serikali ya mpito ya Libya Mohamed Hamouda amesema Al-Saadi alikua amefungwa kwenye gereza la al-Hadaba ambako Maafisa wengi wa uliokuwa utawala wa zamani nchini humo wamefungwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live