Mwanaume mmoja huko Nchini Malawi mwenye umri wa miaka 45 #RexKondwani ameripotiwa kujinyonga baada ya kupata taarifa kuwa Mke wake ametoa Pesa zao za Akiba kiasi cha zaidi ya Tsh.Milioni 1.4 Kanisani wanapofanyia ibada.
Mwanaume mmoja huko Nchini Malawi mwenye umri wa miaka 45 #RexKondwani ameripotiwa kujinyonga baada ya kupata taarifa kuwa Mke wake ametoa Pesa zao za Akiba kiasi cha zaidi ya Tsh.Milioni 1.4 Kanisani wanapofanyia ibada. Inadaiwa Pesa hizo walikuwa wakizikusanya kwa muda kupitia kazi ya Bustani waliyokuwa wakiifanya, Kamanda wa Polisi, George Kaleso amesema kuwa Tukio hilo la kujinyonga kwa Mwanaume huyo aliyekutwa akining'inia kwenye dali la Kanisa hilo limetokea katika kijiji cha Muwalo.