Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ajali yaua wanne Eldoret

Ajali Nakuruuuuu.jpeg Ajali yaua wanne Eldoret

Mon, 18 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu wanne wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa baada ya matatu ya abiria kugongana na basi kwenye barabara kuu ya Eldoret-Nakuru nchini Kenya.

Ajali hiyo imetokea leo Jumatatu asubuhi ambapo Matatu hiyo ya abiria 14 iligongana na basi la abiria 60 katika eneo la Hill Tea Area kwenye barabara kuu ya Nakuru-Eldoret.

Ripoti zinasema kuwa Matatu ilikuwa na abiria 16 wakati wa ajali hiyo na Miongoni mwa waliofariki ni dereva wa matatu pamoja na abiria watatu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live