Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ajali ya gari yaua waatu watano

Ajali Mkl Ajali ya gari yaua waatu watano

Sat, 4 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu watano wameangamia katika ajali ya barabara ambayo imetokea eneo la Silanka kwenye barabara ya Narok kuelekea Bomet nchini Kenya.

Watu watano wameangamia katika ajali ya barabara ambayo imetokea eneo la Silanka kwenye barabara ya Narok kuelekea Bomet nchini Kenya. Kwa mujibu wa ripoti, ajali hiyo iliyosababisha maafa vilevile imeyaacha makumi ya watu wengine yakiwa na majeraha mabaya. Picha zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinaonyesha kuwa matatu ya abiria 14 inayomilikiwa na kampuni ya Ena Coach ni mojawapo wa magari yaliyohusika katika ajali hiyo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live