Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Agongwa na treni kisa earphones masikioni

Kalala Earphones zamzuia kijana kusikia honi ya Treni

Fri, 5 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamume mmoja mjini Kampala nchini uganda, amepoteza mguu wake mmoja baada ya kugongwa na Treni, wakati akitembea katikati ya reli.

Mwanamume mmoja mjini Kampala nchini uganda, amepoteza mguu wake mmoja baada ya kugongwa na Treni, wakati akitembea katikati ya reli. Tukio hilo limetokea Julai 31, 2022, ambapo mashuhuda wamesema alikuwa akitembea katikati ya reli huku akiwa amevaa 'Headphones' ambazo zilipelekea asisikie hata honi ya Treni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live