Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Afrika kupokea chanjo Milioni 10 kutoka Ufaransa

CHANJOOO Ufaransa yahaidi chanjo Millioni kumi bara la Afrika

Wed, 1 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Umoja wa Mataifa ya afrika unatarajia kupokea chanjo million 10 kutoka nchini Ufaransa ikiwa ni katika kupambana na janga la Uviko-19, nchi nying za bara la Afrika bado zipo kwenye uhitaji wa msaada wa chanjo kutoka na wingi wa watu wanaozidi kujotokeza kupata chanjo hio.

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema msaada wa chanjo milllion 10 kwa bara la afrika utagharimu billioni 3 ninaashiria na kuongeza umoja na ushirikiano kwenye maswala ya siasa, kijamii hususa katika kipindi hiki ambacho dunia nzima inahuhitaji zaidi.

Usalama wa afya Afrika ni usalama wa afya duniani.namshukuru sana Rais wa Ufaransa Marcon pamoja na serikali yake kwa Msaada mkubwa wa kutupatia chanjo kwa bara letu la Afrika ikiwa ni katika kupambana na vita dhidhi ya ungojwa wa Corona, amesema Rais wa South Afrika Cyrill Ramaphosa

Chanzo: www.tanzaniaweb.live