Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Afrika Kusini yatajwa kuwa nchi bora zaidi duniani kutembelea

Afrika Kusini Yatajwa Kuwa Nchi Bora Zaidi Duniani Kutembelea Afrika Kusini yatajwa kuwa nchi bora zaidi duniani kutembelea

Wed, 12 Jul 2023 Chanzo: Bbc

Wasomaji waliohojiwa na gazeti la Telegraph la Uingereza wanasema Afrika Kusini ndio kivutio bora zaidi cha watalii duniani.

Gazeti hilo limesfia uzuri wa Cape Town, ikiliita jiji hilo kuwa "mwanamitindo bora chini ya Mlima wa meza".

Pia inasifu "mazao mazuri" ya mvinyo wa Afrika Kusini na kuita Njia ya Bustani "utepe wa nirvana ".

Kenya na Botswana pia ziko katika 10 bora kwenye orodha hiyo ya Telegraph, katika nambari saba na 10 mtawalia.

Chanzo: Bbc