Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Afrika Kusini yakataa kupokea wakimbizi kutoka Afghanistan

Wakimbizi 123 Afrika Kusini yakata kupokea wakimbizi kutoka Afghanistan

Thu, 2 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Afrika Kusini imesema haiwezi kuchukua wakimbizi kutoka Afghanistan kwa sababu ina idadi kubwa ya wakimbizi kwa sasa ambao wanahitaji kuhudumia.

Idara ya Uhusiano wa Kimataifa imesema wakimbizi wanaweza kuhudumiwa vyema katika Nchi za kwanza walizowasili ambapo wengi wapo nchini Pakistan.

Aidha, kwa Nchi za Afrika hadi sasa ni Nchi mbili ndio zimekubali kupokea Wakimbizi ambazo ni Uganda na Rwanda

Chanzo: www.tanzaniaweb.live