Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Afisi za kaunti ya Kisumu zafungwa kufuatia ongezeko la virusi COVID-19

010530dfb01fd984 Afisi za kaunti ya Kisumu zafungwa kufuatia ongezeko la virusi COVID-19

Tue, 8 Jun 2021 Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke

Takriban wiki moja baada ya sherehe za Madaraka kufanyika nchini Kisumu, afisi za kaunti ya hiyo sasa zimefungwa kufuatia ongezeko la virusi vya COVID-19.

Hii ni kufuatia uamuzi uliofanywa kwenye mkutano na mashirika mbali mbali ya usalama wa afya iliyongozwa na gavana Anyang' Nyong'o Jumatatu, Juni 7.

Kwenye mkutano huo, iliafikiwa kwamba huduma za muhimu zisitishwe kwa muda, mochuari zote zinakili idadi ya miili inayopokea kwa mkuu wa afya ya umma kaunti hiyo.

Imeripotiwa kwamba idadi ya visa vya maambukizi katika kaunti hiyo kufikia Juni 7 vilikuwa vimegonga 5, 739

Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke