Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Abiria mwingine afariki kwenye ndege ya Kenya Airways

Kenya Airways Kl.jpeg Abiria mwingine afariki kwenye ndege ya Kenya Airways

Thu, 15 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa iliyotolewa na shirika hilo jana Septemba 14, 2022 ilisema abiria huyo alifariki alipokuwa akihudumiwa na wahudumu wa afya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA)

Imeelezwa abiria huyo alipata matatizo ya kupumua alipokuwa akiingia kwenye ndege ambayo ilikuwa imepangwa kuondoka kuelekea Mombasa.

Kisa hicho kinatokea ikiwa ni takribani wiki mbili tangu abiria mwingine apoteze maisha akiwa ndani ya ndege ya KQ002 iliyokuwa ikielekea New York, Marekani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live