Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AU yanunua chanjo ya Corona

Ec30f1d676e27f306c99871da9d0d106 AU yanunua chanjo ya Corona

Fri, 15 Jan 2021 Chanzo: habarileo.co.tz

Umoja wa Afrika umenunua dozi milioni 270 za chanjo ya corona ili kusambaza barani Afrika.

Dozi zote zitatumika mwaka huu, amesema Mwenyekiti wa AU ambaye pia ni rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa.

Idadi hiyo ni nyongeza ya dozi milioni 600 ambazo zilikuwa zimeahidiwa tayari ambazo bado hazitoshi kutoa chanjo kwa bara zima la Afrika.

Chanzo: habarileo.co.tz