Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AU: Mzozo wa Tigray umeua watu 600,000

Amnesty Inaitaka Ethiopia Kuwaachia Huru Wafanyakazi Wa Haki Za Binadamu AU: Mzozo wa Tigray umeua watu 600,000

Mon, 16 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mpatanishi wa Umoja wa Afrika katika mzozo wa Tigray, Olusegun Obasanjo, ameliambia jarida la Financial Times (FT) kuwa idadi hiyo imetokea ndani ya miaka miwili ya mapigano.

Mzozo ulianza Novemba 2020, baada ya Waziri Mkuu Abiy Ahmed kuamuru mashambulizi dhidi ya vikosi vya Tigray kwa maelezo ya kujibu shambulio lililofanywa kwenye kambi inayohifadhi Wanajeshi wa Serikali.

Novemba 2, 2022, Serikali ya Ethiopia na Waasi wa Tigray walitia saini makubaliano ya kusitisha mapigano ambayo yalitajwa kusababisha vifo vya watu 1,000 kila siku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live