Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

ALIYEKUWA KOCHA WA SIMBA, AUSSEMS ALA SHAVU AFRIKA KUSINI

Capture 57.png?fit=889%2C477 ALIYEKUWA KOCHA WA SIMBA, AUSSEMS ALA SHAVU AFRIKA KUSINI

Mon, 28 Sep 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Kocha wa zamani wa Wekundu wa Msimbazi , Simba ya Dar es salaam Tanzania amekula shavu nchini Afrika Kusini katika klabu ya Black Leopards.

Klabu hiyo ya Black Leopards ya Afrika Kusini imemtangaza kocha Patrick Aussems kuwa kocha wao mkuu mpya katika kipindi cha miaka mitatu.

story by www.dimbani.co.tz

Chanzo: zanzibar24.co.tz