Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

38 Wafariki kwa Kuangukiwa na Kifusi Mgodini

Ajali Mgodi 38 Wafariki kwa Kuangukiwa na Kifusi Mgodini

Wed, 29 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu 38 wamepoteza maisha baada ya kuporomokewa na udongo kwenye mgodi wa dhahabu wa Darsay kijiji cha Fuja nchini Sudan.

Taarifa kutoka nchini humo zinaeleza kuwa wengine zaidi ya wanane wamejeruhiwa na wanatibiwa katika hospitali iliyoko karibu na eneo hilo.

Inaarifiwa kuwa, mgodi huo umesitisha shughuli zake kwa sasa, na kwamba uchimbaji wa madini ya dhahabu uliokuwa ukiendelea ulikuwa kinyume cha sheria.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live