Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

17 wafariki katika ajali Kenya

Mtro Bus 17 wafariki katika ajali Kenya

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu 17 wamefariki dunia nchini Kenya na wengine zaidi ya 27 kujeruhiwa baada ya basi la Super Metro walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori wakati dereva akitaka kuipita gari ndogo katika eneo la Nyando, Kisumu usiku wa kuamkia leo Januari 29, 2024.

Watu 17 wamefariki dunia nchini Kenya na wengine zaidi ya 27 kujeruhiwa baada ya basi la Super Metro walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori wakati dereva akitaka kuipita gari ndogo katika eneo la Nyando, Kisumu usiku wa kuamkia leo Januari 29, 2024. Basi hilo lilikuwa likielekea Mombasa nchini humo ambapo dereva wa basi na lori walipoteza maisha papo hapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live