Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zamalek yaichachafya Al ahly derby ya Cairo

7166 2611 TZW

Sun, 29 Apr 2018 Chanzo: bongo5.com

Vinara wa ligi kuu soka nchini Misri klabu ya Al ahly hapo jana siku ya Alhamisi imekubali kipigo cha mabao 2 – 1 kutoka kwa hasimu wake Zamalek kwenye mchezo wao uliyopigwa dimba la Cairo International (al-Qahirah).

Licha ya kupoteza mechi hiyo tayari timu ya Al ahly ndiyo mabingwa msimu huu kwakuwa na alama nyingi zaidi kuliko klabu yoyote ile kwenye ligi hiyo ya Misri.
Chanzo: bongo5.com