Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zahera aanika jeshi la Yanga kuimaliza Rayon Sports

14501 Pic+yanga TanzaniaWeb

Wed, 29 Aug 2018 Chanzo: mwananchi.co.tz

Rwanda. Timu ya Yanga imefanya kikao chao cha mwisho kuelekea mchezo wao unaotarajiwa kuchezwa leo Jumatano saa 10 jioni.

Kocha Mwinyi Zahera amesisitiza wachezaji wake kutuliza akili na kujituma uwanjani ili kuhakikisha wanaendeleza rekodi yao ya kuibuka na ushindi.

Zahera amewataka vijana wake kupambana na kutumia akili huku wakidumisha nidhamu ya mchezo.

Wachezaji wa Yanga na benhi la Ufundi wamekusanyika kwenye kikao hicho muhimu kwa timu hiyo katika hotel yao ya The Mirror, ikiwa ni masaa machache kabla ya mechi yao.

Kikosi cha Yanga kinachotaajiwa kuanza leoni hiki hapa:

 

Kakolanya

Ninja

Gadiel

Dante

Yondani

Pius

Raphael

Kaseke

Ajib

Matheo

Makambo

Chanzo: mwananchi.co.tz