Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yapigwa faini kisa mechi na Simba SC

5F9A0ACF 5DB5 41A7 B0B7 D2BF14B7AFEE 660x400.jpeg Yanga yapigwa faini kisa mechi na Simba SC

Thu, 8 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Kamati ya saa 72 ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) imeipiga faini ya Tsh milioni 3 club ya Yanga SC kwa makosa kadhaa iliyotenda katika mchezo dhidi ya Simba SC.

Kamati ya saa 72 ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) imeipiga faini ya Tsh milioni 3 club ya Yanga SC kwa makosa kadhaa iliyotenda katika mchezo dhidi ya Simba SC. Yanga wamepigwa faini hiyo kwa kosa la kuingia uwanjani kwa mageti ya sio rasmi wakati wa mchezo, Kutumia mlango wa Media Centre. Makosa mengi ni kubadilishia nguo chumba cha wafanyia usafi, hata hivyo Yanga wameagizwa kulipa Tsh 850,000/= kama gharama za ukarabati wa mageti yaliovunjwa wakati wakiingia uwanjani.

Chanzo: millardayo.com