Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yalamba dili tena

Jezi Yanga 2022 23 Yanga yalamba dili tena

Mon, 1 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imesaini mkataba CRDB Bank kama mdhamini mwenza kuelekea Wiki ya Mwananchi inayotarajiwa kuhitimishwa Agosti 6 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

Klabu ya Yanga imesaini mkataba CRDB Bank kama mdhamini mwenza kuelekea Wiki ya Mwananchi inayotarajiwa kuhitimishwa Agosti 6 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa. Yanga wamewakilishwa na Makamu Rais Arafat Hajji na Crdb wamewakilishwa na Mkuu wa kitengo cha kadi, Farid Selfu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live