Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga na Azam Media wasaini mkataba wa Bilioni 41

CA07C746 0F6A 4F66 A397 526979209686 660x400.jpeg Yanga na Azam Media wasaini mkataba wa Bilioni 41

Thu, 8 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Club ya Yanga SC leo imeingia mkataba wa miaka 10 na Azam Media wa mashirikiano ya maudhui wenye thamani ya Tsh Bilioni 41 pamoja na VAT.

Mkataba huo umesainiwa leo na Mtendaji Mkuu Azam Media Tido Mhando na Mwenyekiti wa Yanga SC Dr Mshindo Msolla sasa Azam Media watakuwa na haki na maudhui yote yahusuyo Yanga.

Azam TV watakuwa wanarusha mechi za Yanga za nyumbani kimataifa, kirafiki, mazoezi na kadhalika ikiwemo tamasha la wiki ya Mwananchi.

Chanzo: millardayo.com