Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga Yatupwa Nje Ligi ya Mabingwa Afrika

Yangasc 242214116 182621107263328 6635309633354885754 N?fit=800%2C664&ssl=1 Yanga Yatupwa Nje Ligi ya Mabingwa Afrika

Sun, 19 Sep 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye ligi ya mabingwa Afrika, Yanga leo Septemba 19, imetupwa nje ya michuano hiyo baada ya kupoteza mchezo wa ugenini dhidi ya Rivers United ya Nigeria.

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye ligi ya mabingwa Afrika, Yanga leo Septemba 19, imetupwa nje ya michuano hiyo baada ya kupoteza mchezo wa ugenini dhidi ya Rivers United ya Nigeria. Yanga imepoteza kwa jumla ya Magoli 2-0 baada ya kupoteza mchezo wa kwanza kwa bao 1-0 uliochezwa uwanja wa Benjamin Mkapa Dar.

Chanzo: globalpublishers.co.tz