Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga SC yaipiga Njombe Mji bila huruma

2743 Yayayayay.png TZW

Wed, 7 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Klabu ya Yanga imechomoza na ushindi wa mabao 4 – 0 dhidi ya timu ya Njombe Mji mchezo uliyopigwa uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.



Mabao ya Yanga SC yakifungwa na mchezaji Obrey Chirwa matatu na Juma Mahadhi huku mabingwa hao watetezi wakisogea hadi nafasi ya pili baada ya kutimiza pointi 34 nyuma ya Simba SC wenye 38 katika msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara.

Baada ya mechi za leo – huu ndio msimamo wa ligi kuu ya Vodacom.



 

Chanzo: bongo5.com