Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

YANGA YALAANI KITENDO CHA WASHABIKI WAKE KUFANYA FUJO KWA MASHABIKI WA SIMBA

V.webp YANGA YALAANI KITENDO CHA WASHABIKI WAKE KUFANYA FUJO KWA MASHABIKI WA SIMBA

Mon, 28 Sep 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Klabu ya yanga imelaani kitendo cha baadhi ya mashabiki wake mkoani Morogoro waliowafanyia fujo baadhi ya mashabiki wa Simba Sc waliojitokeza katika mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar na hivyo kuviomba vyombo vya ulinzi na usalama kufanya uchunguzi wa tukio hilo.

Klabu ya yanga imelaani kitendo cha baadhi ya mashabiki wake mkoani Morogoro waliowafanyia fujo baadhi ya mashabiki wa Simba Sc waliojitokeza katika mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar na hivyo kuviomba vyombo vya ulinzi na usalama kufanya uchunguzi wa tukio hilo. Yanga Jana walishuka Dimbani mbele ya Mtibwa Sugar na katika mchezo huo Yanga walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1- 0 mbele ya Mtibwa Sugar, bao la Yanga lilifungwa na Lamine Moro dakika ya 61.Hadi sasa ni timu tatu pekee ambazo hazijapoteza mchezo hata mmoja katika VPL,Azam imeshinda 4,Simba imeshinda 3,sare 1,Yanga imeshinda 3 sare 1.

Chanzo: zanzibar24.co.tz