Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

YAMETIMIA: Yacouba Sogne atua Young Africans

WhatsApp Image 2020 08 11 At 14.23.46.jpeg?fit=720%2C711 YAMETIMIA: Yacouba Sogne atua Young Africans

Tue, 11 Aug 2020 Chanzo: dar24.com

Mshambulaijij kutoka Burkina Faso Yacouba Sogne, amekamilisha mpango wa kujiunga na klabu ya Young Africans, na anatarajiwa kuwasili nchini wakati wowote tayari kuungana na wachezaji wengine kwa maandalizi ya msimu mpya wa Ligu Kuu 2020/21.

Sogne anakua mchezaji wa kwanza wa kigeni kudhihirishwa na uongozi wa klabu ya Young Africans, baada ya wachezaji wazawa kuendelea kusajiliwa klabuni hapo na kutambulishwa kila kukicha.

Mshambuliaji huyo anaejiunga na Young Africans akitokea Asente Kotoko ya Ghana, amesaini dili la miaka miwili.

Papaa Zahera kocha mkuu Gwambina FCSogne amesema kuwa anafurahi kuwa ndani ya kikosi cha Young Africans ambacho anaamini ni njia yake ya kufikia mafanikio.

Chanzo: dar24.com