Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri Mkuu atia neno kufuatia sakata la Simba na Yanga

Majaliwa Pc Ed Waziri Mkuu atia neno kufuatia sakata la Simba na Yanga

Mon, 10 May 2021 Chanzo: ippmedia.com

“Kufuatia kero hii tayari tumeagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhakikisha inatoa taarifa haraka sana kwa Watanzania, mchezo wenyewe utachezwa lini lakini kuna viingilio ambavyo walikuwa wametoa mashabiki hatima yake nini,” amesema Waziri Mkuu.

Amesema wizara hiyo inatakiwa kutoa taarifa hiyo kwa kushirikiana na chombo kinachosimamia mchezo huo cha Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF).

Aidha, Waziri Mkuu amewasihi Watanzania kuwa watulivu ili kuipa muda Wizara pamoja na Taasisi zinazosimamia Mpira wa miguu ikiwemo TFF kuja na taarifa juu ya hatma ya Mchezo huo.

Chanzo: ippmedia.com