Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri Chana awakabidhi Simbu, Geay fedha zao

Waziri Geay.jpeg Waziri Chana awakabidhi Simbu, Geay fedha zao

Fri, 28 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (kulia) akimkabidhi zawadi ya Shilingi Milioni 3 Mwanariadha wa Kimataifa Gabriel Geay ambaye ameshika nafasi ya pili katika Mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Buston Marathon) yaliyofanyika hivi karibuni nchini Marekani. Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Hamis Mwinjuma. Fedha hizo zimetolewa na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.



WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akimkabidhi zawadi ya Shilingi Milioni 2 iliyotolewa na wizara hiyo, kwa Mwanariadha wa Kimataifa Aliphonce Simbu (katikati) ambaye ameshika nafasi ya tatu katika mbio za Yangzhou Jianzhen International Half Marathon. Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Hamis Mwinjuma.

Tukio hilo limefanyika leo Aprili 27, 2023 jijini Dodoma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live