Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Walichoandika wachezaji wa Real Madrid baada ya Zidane kutangaza kustaafu

8533 32691491 220188568759735 2052785945610027008 N TZW

Sun, 3 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Wachezaji wa Real Madrid kwa sasa watakuwa wapo katika wakati mkgumu baada ya kocha wao aliyewapa mafanikio makubwa katika kipindi kifupi Zinedine Zidane, Alhamisi hii kutangaza kustaafu kuifundisha timu hiyo.



Wachezaji hao wakiongozwa na Cristiano Ronaldo, Sergio Ramos, Karim Benzema wameonyesha kusikitishwa kwa maamuzi ya kocha huyo na mpaka kushindwa kuzuia hsia zao na kuamua kumuandikia ujumbe wa kuumbuka mchango wake katika kipindi walipokuwa pamoja.

Cristiano Ronaldo

I’m just proud of being your player. Mister, thanks for so much.

Sergio Ramos

Mister, as a player and now as a coach, you decided to fire you at the top. Thank you for two and a half years of soccer, work, love and friendship. You leave but your legacy is already indelible. One of the most successful chapters in the history of our beloved @realmadrid

As a player and coach you decided to say goodbye at the top. Thank you for two and a half incredible years. Your legacy will never be erased, one of the most successful chapters in the history of our beloved @ realmadrid.

Karim Benzema

What an honor to have evolved under the orders of a great man like you !!! Thank you zizou

Luca Modric

Mister, it was huge privilege to work and learn from you! This time with you will be remembered forever! Grateful for everything and wish you all the best! ??

Chanzo: bongo5.com