Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wabongo wafanya kweli Mashindano ya Majeshi Uswiss

Wabongo Uswiss Wabongo wafanya kweli Mashindano ya Majeshi Uswiss

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwana Riadha Alphonce Felix Simbu Ashika Nafasi ya Pili (1:01:30) na kupata Medali ya Fedha (Silver Medal) kwenye Mashindano ya Majeshi kwa Kilomita 21 ( The World CISM Half Marathon Championship, Switzerland) huko Uswisi,

Huku Faraja Damas akitumia muda wa (1:05:21)

Nae Magdalena Crispin shauri akishika nafasi ya tatu (1:08:40) kwa Wanawake na kupata medali ya Shaba (Bronze) na Jackline Sakilu akiwa nafasi ya Nne kwa muda wa (1:09:32) huku Mayselina Mbua akitumia muda wa (1:14:36) katika Mashindano Hayo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live